ENGLISH
SWAHILI

Anwani yetu ni:

S.L.P. 21094-00505 Jamhuri park (kwa uwanja wa maonyesho ya kilimo) KENYA NAIROBI

 

Simu ya Rununu ni(mobile):

00254+721+444313;

00254+725+103954

 

 

Barua pepe ni(email):

k.huangpai@aliyun.com

 Kuhusu sisi

    Chinese huangpai grain processing equipment assemblers ltd.tuko jijini Nairobi hapa nchini Kenya. Sisi hujiusisha na mashini aina zote za kusaga, mashing za jute genera chakula za wanyama @ghala za Kuwekea mashini @kibanda cha kufanya rangi kwa mabati na chuma za nyumba,ndogo ,wastani na hata zile kubwa za kusaga. Kwa mfano, tuna zile za kusaga ngano,kusaga unga wa mahindi na hata za kufinya na kutengeza mafuta halisi ya kupikia.,zile mashini za kusaga ngano na unga wa mahindi ndizo hununuliwa kwa wingi na wateja wetu barani afrika. sisi hatuundi mashini peke yake, bali hutengeza zile zilizoharibika na.


    zaidi ya hayo huzirejesha kwa muundo wake wa kawaida kulingana na matakwa ya wateja. kwa zaidi ya kumi na tano ,tukihusika na huu muundo wa mashini barani Afrika,kampuni yetu hushughulika na kuhudumia wateja wengi hapa nchini Kenya na Nchi kama Ethiopia,Uganda Tanzania,Congo,na zinginezo humu barani.


    Twapeana huduma zingine kama kuunda mashini na kuchunguza kama zinafanya kazi,Tunatoa mafunzo kwa wenyeji na wateja juu ya kuunda baada ya kutumia,Na vipuri viko kwa wingi wateja wanapoitaji.Wateja wetu kabla waanze kutumia hizi mashini huwa wameelimishwa namna ya kuunda mashini ambazo huenda hazifanyi kazi.Sisi hujishughulisha na wateja wetu kwanza kabla linginelo,Muundo mzuri wa hizi mashini umetumika kwa uboreshaji wa hali ya juu mno.Wateja wote mwakaribishwa zaidi na mzidi kututembelea kila wakati mkihitaji huduma yetu.

 As Chinese huangpai grain processing equipment assemblers ltd. All rights reserved.